Baada ya kufanya TOUR ya kimuziki katika miji ya Mombasa na Nairobi, Kenya Mwimbaji staa Lulu Diva kutoka Bongoflevani amekaa na Ayo TV na kuelezea mapokezi makubwa ambayo hakuyategemea. Kawataja Vanessa Mdee na Nandy. CREIT: AYO.COM
Post a Comment