ad

ad

Baba wa mtoto wa Hamisa Mobetto, Soudy kaongea na Mama Hamisa… Adaiwa Kuwa wa Diamond Platnumz



Kwenye U heard ya XXL ya Clouds FM August 11, 2017 mtangazaji Soudy Brown amepiga stori na Hamisa Mobetto na mama mzazi wa Hamisa baada ya kujifungua mtoto wa kiume huku ikidaiwa kuwa mtoto huyo ni wa mwimbaji Diamond Platnumz.
Soudy Brown ameongea na mama Hamisa ambaye hakuweza kumaliza mazungumzo baada ya kukata simu na baadaye Soudy alimpigia Hamisa.
>>>”Nikusaidie nini? Tunaendela vizuri na mtoto mchanga na mama yupo mzima kabisa. Alijifungua kawaida si mwanamke. Soudy umenipigia kuniuliza Hamisa kazaaje ama? Sisi tupo Mbagala kwa mama yangu. Kwa leo siwezi kuongea muda ukifika nitaongea”. – Mama Hamisa.
“Soudy achana na mimi.” – Hamisa Mobetto.
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza FullStory..

No comments

Powered by Blogger.