Lulu Adaiwa Kutoka na Jaguar, Apewa Kipondo na Bwana'ke wa Zamani
Lulu Diva.
Kwa mujibu wa chanzo, hivi sasa mrembo huyo amejiweka kwa Jaguar na hivi karibuni alipewa kipondo na bwana’ke wa zamani baana ya kubaini uhusiano huo.
Jaguar.
Baada ya kunasa madai hayo, Star Mix lilimtafuta Lulu na alipopatikana alisema;
“Ni uzushi kama unavyojua Wabongo, Jaguar ni meneja wangu tu ambaye ananisaidia katika kunisimamia katika muziki na si vinginevyo.”
Na Imelda Mtema | GAZETI LA IJUMAA | Star Mix


Post a Comment