Yanayojiri Viwanja vya Majengo Moshi Kuaga Mwili wa Mzee Ndesamburo

MOSHI: Shughuli ya kuuaga mwili wa mmoja wa waasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na siasa za mageuzi Mzee Philemon Ndesamburo imeanza katika Viwanja vya Majengo, Moshi mkoani Kilimanjaro.

Mzee Ndesamburo ni mmoja ya waasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pia alikuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kwa miaka 15 na Mwenyekiti wa CHADEMA wa Mkoa wa Kilimanjaro.

- Mwili waMzee Ndesamburo ukietolewa Mochwari ulipokua umeifadhiwa na kuelekea Uwanja wa Majengo kwa ajili ya kuuaga kabla ya kuzikwa.








Mzee Ndesamburo alifariki dunia wiki iliyopita Mei 31, 2017 baada ya kuzidiwa ghafla ofisini kwake na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa KCMC.

- Jeneza lenye mwili wa marehemu mzee Ndesamburo



Post a Comment