Wema Na Wafanyakazi Wake Wapandishwa Tena Kizimbani Kisutu Leo
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amepandishwa katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu leo na wenzake wawili, Matilda Abass na Angelina
Msigwa ambao ni wafanyakazi wake wa ndani kwa kosa la matumizi na
kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi lakini amekana mashitaka hayo
yote.
Mahakama imeahirisha kesi yake hiyo na itasikilizwa tena Julai 14, mwaka huu.
Mahakama imeahirisha kesi yake hiyo na itasikilizwa tena Julai 14, mwaka huu.
Post a Comment