Watu Wafariki, Wanasa Kwenye Jengo Linalowaka Moto London
- Jengo hilo liliteketea kutokana na kile kilichodaiwa friji bovu, japokuwa kikosi cha zimamoto hakijathibitisha ripoti hiyo.
Familia zinazokaa katika jengo hilo, zilisikika zikipiga kelele kuomba msaada, wakati wengine wanenasa sehemu mbalimbali ndani ya jengo hilo lenye ghorofa 27 linaloteketea na kutishia kuanguka.
- Wananchi wakiwa nje ya jengo hilo huku likiendelea kuteketea kwa moto.
Habari zaidi zinasema watu walionasa ndani yake walifunga mashuka yao na kuyatumia kama kamba na kujirusha kupitia madirishani ili kujiokoa.
- Jengo la Grenfell Tower katika Barabara ya Latimer, likiwaka moto.
- Wafanyakazi wa zima moto wakiwa wamekata tamaa.
- Wakazi zaidi ya 600 waliokuwa wakiishi katika jengo hilo walijaribu kujiokoa kwa njia mbalimbali.



















Post a Comment