VIDEO: ROMA KULIPELEKA JIJI DAR LIVE SIKUKUU YA IDD MOSI
SIKU zikiwa zinahesabika kufi kia Sikukuu ya Idd Mosi, wakali kibao wa michano wakiongozwa na R.O.M.A Mkatoliki, Stamina, Darassa, Moni na wengineo wanatarajia kulipeleka jiji ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar na kufanya makamuzi ya kihistoria katika bonge la shoo lijulikanalo kama Nishushe Dar Live.
Post a Comment