ad

ad

Ngoma Arejea Dar Akitokea Zimbabwe, Apokelewa na Yanga

Mshambuliaji Donald Ngoma ametua jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo na kupokelewa na mashabiki wa Yanga.


Ngoma amepokelewa na mashabiki hao wa Yanga na kupelekwa mafichoni.

Baadhi ya wanachama wa Yanga waliofika kumpokea walionekana wako makini na kulikuwa na taarifa kwamba Simba nao walitaka kufika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kumchukua.

Lakini taarifa zilieleza kwamba Simba hawakuwa na mpango huo lakini ni kweli wamefanya mazungumzo na Ngoma.

Jana mchana kuna magazeti yalieleza kwamba Ngoma tayari alikuwa jijini Dar es Salaam akiwa amefichwa na Yanga.



No comments

Powered by Blogger.