Jokate aeleza kitu kilichomtoa machozi hivi karibuni
Mjasiriamali na mwanamitindo maarufu nchini Tanzania, Jokate Mwegelo
amedai kitu ambacho kimemtoa machozi hivi karibuni ni jinsi mama yake
anavyotumia nguvu kubwa kumuuguza baba yake ambaye anaumwa kwa muda
mrefu.
Mrembo huyo ambaye ametajwa katika orodha la jarida la Forbes Africa la kuwa miongoni mwa vijana walio na umri chini ya miaka 30 wenye mafanikio mbalimbali kwa mwaka 2017, alisema hayo baada ya kuulizwa ni kitu gani hivi karibuni kimemtoa machozi.
“Kusema kweli hivi karibuni nimelia sana, baba yangu anaumwa sasa mama yangu anatumia nguvu kubwa kumuudumia kwa sababu baba anahitaji uangalizi wa karibu sana,” Jokate aliimbia MCL.
Pia mwanamitindo huyo amedai kwa sasa anatamani kuwa na familia lakini bado hajajua ni lini.

Post a Comment