Esta Kiama Aushukuru Mwezi wa Ramadhani
Akizungumza na 3 Tamu, Esta alisema kuwa, alikuwa akimuomba Mungu, asiache kufunga hata siku moja ili kama kuna baadhi ya makosa aliyowahi kuyafanya asamehewe kupitia mwezi huo. “Nashukuru mwezi mtukufu umetufanya tufanye toba ya kweli na hata madhambi tuliyokuwanayo naamini baadhi yatakuwa yamefutwa kabisa,” alisema Estar
Post a Comment