Azam Fc Wamsajili Kipa wa Mbao FC ya Mwanza kuwa mbadala wa Aishi Manula
Azam FC usiku wa kuamkia leo wamemtangaza golikipa Benedict Haule aliyekuwa akiichezea Mbao FC ya Mwanza kuwa mbadala wa Aishi Manula aliyejiunga na Simba, Benedict amesaini mkataba wa miaka miwili.

Benedict Haule akisaini mkataba mbele ya Meneja Mkuu wa Azam FC Abdul Mohammed na Meneja wa timu Philip Alando.
Post a Comment