Vanessa Mdee, Maua Sama wampa tano Jokate

Leo hii mrembo Jokate Mwegelo ametajwa na jarida la Forbes Africa kuwa miongoni mwa vijana walio na umri chini ya miaka 30 wenye mafanikio katika sekta mbalimbali kwa mwaka 2017. Baada taarifa hiyo Vanessa Mdee na Maua Sama wametenga muda wao na kuandika haya machache ya kumpongeza.
Maua Sama na Vanessa Mdee
Kwa upande wake Maua Sama, “He’s that woman I told you about…. sometimes women are kings… so proud of you sister girl… #BEAUTYWITHGUTS @jokatemwegelo,”
By Peter Akaro
Post a Comment