TCU Yatangaza Mfumo Mpya wa Kudahili Wanafunzi Vyuo Vikuu
Haya
yamebainishwa katika taarifa ya TCU iliyotolewa juzi ambapo imesema
kuwa wanafunzi wote wanaotaka kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka wa
masomo 2017/2018 watatumia mfumo mpya ambao unawataka kwenda vyuoni moja
kwa moja kuomba nafasi.
Hivyo,taarifa
hiyo imewataka wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kwa mwaka wa
masomo 2017/2018 kuomba nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu moja kwa moja
vyuoni kuanzia tarahe 22 Julai 2017 hadi 13 Agosti 2017.
Sifa za kujiunga kwa wanafunzi wote ni kama ifuatavyo…
Post a Comment