Rais Uhuru Kenyatta akisalimiana na Rais Donald Trump. Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Rais Donald Trump jana huko Taormina nchini Italia walipo kuwa wanaudhuria mkutano wa nchi za G 7 na kufanya mazungumzo mbalimbali. Wakiwa katika picha ya pamoja.
Post a Comment