Gigy Money, Lulu Diva Waingia Kwenye Bifu Zito Kisa U-baamedi
WAREMBO wawili ambao ni Video Queen, Gift Stanford ‘Gigy Money’ na Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ wameingia kwenye bifu zito baada ya Gigy kumtolea maneno machafu mwenzake na kusema kuwa anatakiwa kurudia kazi yake ya zamani ya u-baamedi.
Baada ya Gigy kutoa maneno hayo, Risasi Jumamosi lilimtafuta Lulu ambaye baada ya kuelezwa alijibu kwa ufupi; “Acha aongee maana huwezi kumkataza binadamu kuongea kwa sasa siwezi kujibizana na mtu wa aina hiyo anayetafuta kiki.
STORI: HAMIDA HASSAN | RISASI JUMAMOSI
Post a Comment