MANCHESTER UNITED VS CHELSEA, PAUL POGBA ASEMA: TUNATAKA KULIPIZA KISASI
Kiungo Paul Pogba wa Manchester United amesema kuwa mchezo wao wa
Jumapili dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Old Trafford utakuwa ni wa
kulipa kisasi.
Man United imefungwa mara mbili msimu huu ilipokutana na Chelsea kwenye Uwanja wa Stamford Bridge, ilipoteza kwa mabao 4-0 katika Premier League kisha 1-0 katika FA Cup.
"Hatutaki kupoteza mchezo kwa mara ya tatu, tunataka ushindi, ni kweli wapo mbele yetu na wanawania ubingwa. Sote ni lazima tushinde kwa kuwa tupo nafasi za juu. Tunatakiwa kuwa makini na kulipiza kisasi, alisema Pogba.
United haijapoteza mchezo katika michezo 21 za Premier League, mara ya mwisho ilifungwa na Chelsea lakini hapo katim imepata sare 10.

Post a Comment