Harmorapa: Sijawahi Kuachwa na Mwanamke
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmorapa akiwa na mpenzi wake.
Hamorapa akifanya yake ndani ya Dar Live hivi karibuni.
Harmorapa alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Kikaangoni na
kudai yeye hajui maumivu ya mapenzi kwa kuwa hajawahi kuachwa na
mwanamke.
“Hapana mimi sijawahi kutoswa, kuachwa na mwanamke
haijawahi kutokea kwangu, mimi ndiyo huwa nawaacha ila si kuachwa”
alisema Harmorapa.


Post a Comment