ARSENAL YAENDELEA KUIKIMBIZA TOP FOUR BAADA YA KUSHINDA 1-0 VS LEICESTER
Arsenal imeendelea
na vita yake ya kupambana kupata nafasi ya Top Four katika Ligi Kuu
England baada ya kuichapa Leicester City kwa vao 1-0 katika mechi
iliyopigwa kwenye Uwanja wa Emirates jijini London, leo.
Bao la Arsenal limepatikana dakika ya 86 baada ya beki Robert Huth wa Leicester kujifunga wakati akijaribu kuokoa.
Hata hivyo, Arsenal
ilitengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini umekini wa kipa wa
Leicester au washambulizi wake kutokuwa makini ulichangia kutopata
mabao.
Post a Comment