Wema, Sanchi Wachuana, Kibonge Sexy Out…,
WIKI hii modo Kibonge Sexy ametoka kwenye shindano hili baada ya kupata kura chache. Hata hivyo, mtifuano bado unaendelea huku Wema Sepetu na Sanchi wakionekana kuchuana vikali na kila aliyebaki anajinadi ndiye mwenye figa bomba. Wewe msomaji ndiye mwenye dhamana ya kumchagua mshindi kwa kumpigia kura yule unayeona ana figa bomba kuliko wengine.

Unafanyaje? Jibu ni
rahisi! Chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia sms kisha
andika neno SHEPU acha nafasi kisha andika namba ya mshiriki na utume
kwenda namba 15542. Hii ni kwa wateja wa VODACOM pekee. Aidha, wadada
hao unaowaona wana mapicha makali sana ambayo unaweza kuyaona kwa uzuri
kupitia ukurasa wetu wa Facebook kwa jina la GAZETI LA IJUMAA. Tembelea
na u-like!
Wema
Wema

Post a Comment