REAL MADRID YAIJARIBU CHELSEA NA MILIONI 100 MKONONI KWA EDEN HAZARD"

Real Madrid imeanzisha “Oparesheni Eden Hazard”, ‘yaani iwe isiwe, lazima apatikane!
Kinachoonekana
Madrid iko tayari kumwaga hadi pauni million 100 na kuweka rekodi mpya
ya usajili duniani lakini lazima imnase Mbelgiji huyo tegemeo la
Chelsea.
Chelsea inaonekana iko kimya na inasubiri ofa na atakayetokea na kisu kikali, ndiye atampata.
Hazard mwenye umri wa miaka 26, sasa ndiye tegemeo kwenye safu ya ushambulizi ya Madrid.
Taarifa
la gazeti la AS la Hispania zinaeleza, Kocha Zinedine Zidane anavutiwa
sana na Hazard, hivyo iwe itakavyokuwa ni lazima kiungo huyo akaongeze
nguvu Madrid.
Post a Comment