Mtangazaji wa Shilawadu Amepost Picha Hii ya Nape na Kuandika Ujumbe
MTANGAZAJI na mwanachama wa Shirika la Wambeya Duniani ‘Shilawadu’,
Soudy Brown leo ameweka picha ya kwanza mtandaoni baada ya kutoka likizo
iliyosababishwa na sekeseke la kuvamiwa kwa kituo chao cha kurushia
matangazo, Clouds Televisheni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul
Makonda.
Jamaa huyo ameweka picha ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na
Utamaduni, Nape Nnauye na haijafahamika ni kwanini ameweka picha hiyo.
Post a Comment