LEVERKUSEN YAJITUTUMUA, YAPATA SARE YA 0-0 UGENINI, LAKINI ATLETICO MADRID YASONGA ROBO FAINALI KWA 4-2
Pamoja na Bayer Leverkusen kujitutumua
na kupata sare ya bila mabao dhidi ya Atletico jijini Madrid, lakini
imeishia njiani katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Atletico Madrid imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-2 ambao iliupata ugenini.
Katika mechi ya leo, kila timu ilionyesha kiwango cha juu, kosakosa nyingi lakini hadi mwisho hakukuwa na bao hata moja.
Post a Comment