Khloe Adaiwa Kufunga Ndoa ya Siri huko Jamaica
Khloe Kardashian
DADA wa mwanamitindo Kim Kardashian, Khloe Kardashian na mpenzi wake wa sasa ambaye ni mcheza kikapu wa NBA, Tristan Thompson wanadaiwa kufunga ndoa ya siri huko Jamaica.
Wapenzi hao walionekana wakiwa wamevaa pete kila mmoja baada ya kutoka Jamaica ambapo, Khloe alikuwa amevaa pete mbili, ya uchumba na ya ndoa huku Tristan akiwa amevaa moja ya ndoa. Tristan Thompson
Kupitia Mtandao wa Instagram, Khloe alitupia picha inayomuonesha amevaa pete hiyo, kitendo kilichosababisha mashabiki wake kumpa pongezi na kumuombea adumu kwenye ndoa hiyo.
Khloe aliachana rasmi na aliyekuwa mume wake, Lamar Odom Desemba 9, mwaka jana baada ya ndoa hiyo kuvunjwa mahakamani. Alisifi wa kwa kukaa kwenye ndoa hiyo kwa muda mrefu kwani aliolewa Septemba 2009 tofauti na mdogo wake Kim ambaye hushindwa kudumu kwenye ndoa.

Post a Comment