Irene Uwoya Amchana Wema Sepetu na Wenzake kwa Kutawaliwa na Siasa...!!!

Baada ya kashikashi za hapa na pale ya wasanii wa bongo movie kuingia
kwenye siasa huku Wema Sepetu akihamia CHADEMA na kusema anaidai CCM,
swahiba wake, Batuli amekanusha. Wakati vita vya maneno vikiendelea,
mwenzao, Irene Uwoya amewachana.
Irene ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika maneno yenye busara ndani:
Katika maisha siku zote ushauri unaruhusiwa kutolewa au kupokelewa…
Lakin sio lazima mtu kupokea ushauri unaotolewa… Kila mtu anauhuru
wakuamua kitu ambacho anahisi kinamfaa kwenye maisha sababu… Sazingine
kwenye maisha Kuna sehemu inafika unacho jiskia kwenye moyo wako sio
rahisi mtu mwingine kujiskia … Sasa ni mbaya sana kuishi kwa hisia…
Ifikie Wakati tujitaidi kuheshimu hisia Za mtu… Lakin pia kunavitu
vingine nazani Nivyema vkabaki kwa wausika wavinaowahusu…yani sio lazima
kuongea kila kitu kwenye jamiii… Watu wanatamani sazingine kuskia vtu
ambavyo wanahisi vinafaida kwa Jamaniii… Kunavitu vingine ukiongea
havina maana.”
Mfano mim ni CCM damu… Lakin kunavitu vinaboa sanaaa Kweli kada mzima wa
CCM unasimama hazarani unasema tulilipwa kufanya campaign? hatakama
lakini unafundisha Nin Jamiii? Unafundisha jamiii kwamba yote
tuliyoongea kuhusu CCM hatukuyaamanisha nikwasababu tulilipwa? Unaiambia
jamiii ulikuwa tayari kuwadanganya na mliwadanganya sababu mlilipwa?
Hivi Kweli? Kwahiyo jamiii ione Chochote Tutachoonge wasikiamini maana
yake tutakuwa tumelipwa? Kwahiyo ata mnayoyaongea mnataka kusema
mmelipwa? Minazani tujifunze kunyamaza sazingine kama hamna ulazima
wakuongea mnaweza kuhisi mmnajenga kumbe mnaharibu kabisaaa… Embu
Tufanye Kazi zinazo tuhusu Jamaniii… Nigeria wenzetu sasa wako Hollywood
wanaigiza huko… Sisi ata nigeria kwenyewe bado hatuja pasua… Lakin hapa
Tupo busy kushabikia ujinga na vitu vya kipumbafu na visivyo na Msaada
kwajamiii
Post a Comment