ad

ad

HONGERA ZANZIBAR KWA KUWA MWANACHAMA WA CAF RASMI


Ombi la TFF kuomba Zanzibar iwe mwanachama mpya na wa 55 wa Shirikisho la mpira barani Afrika CAF limepita kwa kishindo.Zanzibar sasa ni mwanachama kamili wa CAF.
Hongera Zanzibar!
Hongera Chama cha mpira Zanzibar!

Historia imeandikwa leo!

No comments

Powered by Blogger.