Chege & Temba ft. Emmy Wimbo - Go Down [Official Music Video]
Chege na Temba kutoka TMK Wanaume Family baada ya ukimya wa muda mrefu
wamerudi upya kwenye game na video ya wimbo wao mpya, Go Down wakiwa
amemshirikisha Emmy Wimbo. Video imeondozwa na director Msafiri kutoka
Kwetu Studio.
Post a Comment