CHADEMA Watangaza Mgogoro Na RC Makonda
Ndugu
viongozi Wabunge,Mameya,Madiwani,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa pamoja
na viongozi na Wanachama wa Chama Mkoa wa Dar Es salaam naomba kwa
niamba ya Baraza maalum la Kanda ya Pwani ambalo lilikuwa likihutubiwa
na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe kwa kauli Moja wajumbe
wote wameridhia kutokushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Bwana
Makonda kutokana na shutuma mbalimbali alizonazo.
Nikiwa
kama kama Katibu wa Chadema Jiji hili naunga Mkono kutomtambua Bwana
Paul Makondi mpaka hapo atakapo tolea ufafanuzi tuhuma zake... moja ya
tuhuma zake, Ni Vyeti Vyake Vya Elimu,Kuwa na Mali ambazo
zinawalaki,kuhusishwa kuvamia kituo kimoja cha TV na Radio.... Tuhuma
hizi mpaka sasa hazijatolewa ufafanuzi.
Mkumbuke
ya kwamba Jiji hili la Dar Es salaam lipo chini ya Ukawa... Ni mwiko na
marufuku kwa Diwani yeyote ama Meya au Mwenyekiti wowote Yule wa Mtaa
Kuumpa ushirikiano Bwana Makonda Mpaka hapo mtakapo Arifiwa vinginevyo
na Chama Mkoa Huu wa Dar Es salaam ...
By Henry Kilewo
Katibu Greater DSM
19/03/2017
Post a Comment