Waziri Nape Nauye: Ujinga ni mzigo mkubwa sana, omba Busara ya Mungu Kuliko Utajiri na Kiburi
Tujifunze kusoma biblia, Nasoma masomo ya Mwakasege watu wanachukua na kutafsiri watakavyo kwa faida zao.Nimesikitishwa sana. Si SAWA!
— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) February 13, 2017
Hata hivyo, Nape amedai post hizo hazina maana yoyote mbaya na badala yake ni masomo tu ya mwalimu Mwakasege
Post zenyewe ni hizo hapo chini
==>Hii ni post yake Yenye Video ya Mahubiri ya Mwakasege
Baada ya post hizo kuanza kujadiliwa na watu, Waziri Nape amevunja ikimya na kuandika; Tujifunze kusoma biblia, Nasoma masomo ya Mwakasege watu wanachukua na kutafsiri watakavyo kwa faida zao.Nimesikitishwa sana. Si SAWA! - Ameandika Waziri Nape.Ujinga ni mzigo mkubwa sana!! Omba busara ya Mungu kwa kila jambo kuliko utajiri na kiburi!
— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) February 12, 2017
Post a Comment