TID aanza maisha mpya amtambulisha mpenzi wake mpya
Muimbaji huyo ambaye alikaa lupango kwa siku tano kabla ya kuachiwa, amemtangaza mpenzi wake mpya ambaye jina lake halikutambulika mara moja.
“The Smile i needed to see after all the trouble i have been through. Million Dollar Smile, am i in Love again!,”aliandika TID Instagram huku akaiwa ameweka picha ya mrembo huyo hapo juu.
Aliongeza, “Watasema sana na kisha watalala kama kunipenda najua unanipenda sana ooohyeahhh,”.
Post a Comment