Video: 'Nimeshawahi kwenda kwa Mganga wa kienyeji' - Darassa
Msanii wa bongofleva Darassa ambaye jina lake limeongoza kwa kutajwa
mara nyingi kwenye namba kubwa za chati za Radio/TV Tanzania kutokana na
hit single ya 'muziki' , amekaa kwenye Exclusive na Diva.
Post a Comment