CAF yamteua Millard Ayo Kuripoti Moja Kwa Moja Michauno ya AFCON2017 Kutoka Uwanjani
Mtanzania Millard Ayo achaguliwa na shirikisho la soka Afrika katika
list ya Waandishi watakaoripoti michuano ya Afrika kutoka uwanjani
Kila la heri #MilladyAyo
Michuano hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Januari 14 2014 nchini Gabon.Katika nchi za Afrika Mashariki na CECAFA kwa ujumla,Uganda ndio atakuwa muwakilishi.Hakika hii ni Good News. #BetterTogether mtu wa nguvu. https://t.co/118ToTSrlO
— Vodacom Tanzania (@VodacomTanzania) January 11, 2017
Kila la heri #MilladyAyo
Post a Comment