Video: Chadema yahaha kukata Rufaa ya Lijualikali
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amesema tayari wameshaanza
mchakato wa kukata rufaa dhidi ya Mbunge wa Kilombero, Peter
Lijualikali, aliyehukumiwa kwenda jela miezi sita.
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), latangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017, ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 7.22 huku wata...
Post a Comment