ad

ad

Video: Mbowe, Lissu kumtembelea Lema Jumamosi

 
 Mwanasheria wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amesema yeye pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wanakusudia kwenda kumtembelea Mbunge wa Arusha katika gereza la Kisongo

No comments

Powered by Blogger.