ad

ad

Schneiderlin atua rasmi Everton


 Kiungo Morgan Schneiderlin hatimaye amejiunga na klabu ya Everton, akitokea Man United kwa ada ya paundi milioni 20 ambayo itapanda hadi paundi milioni 24.

Mfaransa huyo ambaye ana umri wa miaka 27, amesaini mkataba wa miaka minne na nusu ambao utamalizika mwaka 2021, Schneiderlin ameungana na kocha wake wa zamani Ronald Koeman.


No comments

Powered by Blogger.