Madawa ya kulevya yamwathiri aliyekuwa mshiriki wa Big Brother - Nando
Ni
kijana aliyeshiriki big brother mwaka 2013, kama mwakilishi wa
Tanzania, kutokana na hali ngumu ya maisha kijana huyu alijidumbukiza
kwenye janga kubwa la matumizi ya madawa ya kulevya
Kwa sasa hali ya Afya ya Nando si nzuri imezorota kutoakana na matumizi ya madawa ya kulevya yaliyo kithiri,
Hii
iwe kama kengele kwa vijana wa kisasa kuwa dawa za kulevya sio “ujanja”
ni majanga. Unaweza kuanza na kuvuta kisirisiri, lakini majibu ya
madhara yake yakawa hadharani na unapotoka hadharani basi muda unakuwa
umekwisha kwenda.
Post a Comment