Feza Kessy awalilia Chidi Benz na Nando baada ya kudhoofu kwa Madawa ya Kulevya
Feza
Kessy ana mdogo wake ambaye naye ni muathirika wa madawa ya kulevya
hivyo anaelewa kinagaubaga changamoto ya kuwa na mtu wa karibu
anayepambana na janga hilo.
Na
sasa amewaomba Watanzania kuwaombea wote walioingia kwenye tatizo hilo
wakiwemo Chidi Benz na Nando ambao hali zao za hivi karibuni
zinasikitisha.
Ameandika kwenye Instagram:
"Let’s
pray for our brothers and sisters who are caught up in drug addiction.
Chidi ni rafiki yangu for many years Na Nando mdogo wangu, I will Not
Post how they look like Now cos kwangu haijakaa sawa. #MadawaYaKulevya
sio mchezo it’s time tuache kunong’ona Na tuwe wazi! Hashtags Na Repost
won’t help jamaniiiii A plan is needed as a society to fight this devil.
Kwa wale ambao wanasema “wakafie mbali” mara “wameyataka wenyewe” let
me tell you something;
"Kuna
watu wamezaliwa Na addictive personality, wanajaribu Mara moja na ndo
mwanzo wa kujiuwa, wengine wanajaribu na wanaacha tu so muache kuhukumu
watu kama vile nyie ni Mungu. There is nothing fair about addiction wao
wenyewe wanakata tamaa. We need to stop this drug business “Sisi” kama
society, we need to teach about it and make our kids fear these drugs,
and we also need to love the ones affected, pray for them because huijui
Kesho it might come to your house. Ni hayo tu for now."
Post a Comment