Video: Mahojiano ya Rais Shein na Tido Mhando #Kipindi cha Funguka Azam Two
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amezungumzia kwa mara ya kwanza,
mazungumzo aliyowahi kuyafanya na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif
kupitia kipindi cha funguka cha Azam TV.
Post a Comment