ELIZABETH MICHAEL ‘LULU’ ATWAA TUZO HII SWAHILI FASHION
Maonyesho ya mitindo ya mavazi ya Swahili Fashion Week 2016 yalianza jijini Dar es salaam, ambapo wabunifu kutoka sehemu mbali mbali Afrika wamepata fursa ya kuonyesha ubunifu wao.
Maonyesho
hayo ambayo yalianza siku ya tar 2 Desemba nakuendelea mpaka tarehe 4
Desemba 2016, yamekuwa na mafanikio makubwa kutoa fursa kwa wabunifu
kutoka nje ya mipaka ya nchi yao na kukutana pamoja kuonyesha vipaji
vyao vya ubunifu.
Good
news ni kwamba, Kwenye tukio hilo lililofanyika usiku wa tar 4 Desemba
2016, muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) alijinyakulia tuzo ya mtu
maarufu kwenye mitindo (Most stylish icon).

Post a Comment