TAIFA STARS WAPO KAMILI KWA AJILI YA KUWAPA KAZI ZIMBABWE
Kikosi
cha Taifa Stars kilitua salama na wachezaji wako tayari kwa ajili ya
kuwavaa wapinzani wao Zimbabwe katika mechi ya kirafiki mjini Harare,
leo.
Stard
imesafiri hadi mjini humo kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya
wenyeji wake hao na tayari imefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya mechi
hiyo.
Post a Comment