Picha tano za kusisimua mkutano wa Trump na Obama
Wawili hao walishauriana kwa zaidi ya saa moja afisi ya rais katika
ikulu ya White House mnamo Alhamisi na walipojitokeza kwa wanahabari,
walijaribu kuficha uadui kati yao.
Waliongea maneno mazuri kuhusu umoja na umuhimu wa kupokezana madaraka kwa amani.
Lakini picha zilizopigwa zinaonesha jambo tofauti, ukiangalia sura na mikono
Melania Trump na Michelle Obama wakiwa ikulu ya White House
Waliongea maneno mazuri kuhusu umoja na umuhimu wa kupokezana madaraka kwa amani.
Lakini picha zilizopigwa zinaonesha jambo tofauti, ukiangalia sura na mikono

Post a Comment