MAYWEATHER SASA AAMUA KUWA PROMOTA WAZIWAZI, ASIMAMIA PAMBANO LA DEGALE VS JACK

Baada ya kufanya kimyakimya kazi ya upromota, sasa bondia nyota Floyd Mayweather ameamua kufanya hadharani.
Mayweather
ambaye alitangaza kustaafu baada ya kushinda mapambano 49, ameonekana
akisimamia pambano la mabondia Badou Jack (kushoto) na James DeGale
(kulia) akiwa ni promota.

Post a Comment