Kocha George Lwandamina, leo ametua rasmi na kukanyaga makao makuu ya Yanga. Taswira mbili zinamuonyesha Lwandamina akiwa makao makuu ya klabu hiyo ambako alifika leo mchana.
Post a Comment