Video: Miss Kinondoni Atwaa Taji la Miss Tanzania 2016
Warembo walioingia Top 5. Wa kwanza kushoto ni Diana Edward Lukumai aliyeibuka mshindi na kuvikwa taji la Miss Tanzania 2016.
Miss Tanzania 2016, Diana Edward Lukumai katika pozi.
Miss Kinondoni 2016, Diana Edward Lukumai aimeibuka kidedea kwa
kutwaa taji la Miss Tanzania 2016. Shindano hilo kwa mara ya kwanza
limefanyika jijini Mwanza katika ukumbi wa Rock City Mall. Diana
ameibuka kidedea na kuwabwaga wenzake 30.
Post a Comment