Matokeo ya Darasa la Saba 2016 Yatangazwa, Bofya Hapa Kuyatazama
NECTA: Baraza la Mitihani
Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba
uliofanyika Septemba 8 na 9, 2016 huku jumla ya watahiniwa 795,739
walisajiliwa kufanya mtihani huo.
Akizungumza mbele ya wanahabari, Katibu
Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde ameeleza kuwa ufaulu wa
wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 2.52 ukilinganishwa na ule wa mwaka
jana (2015).
Shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya Msingi Kwema iliyoko mkoani Shinyanga.
Kuyatazama matokeo ya darasa la saba mwaka 2016;
Bofya Hapa au
Post a Comment