LUIS SUAREZ, MCHEZAJI BORA WA DUNIA KUTOKEA LA LIGA
Mshambuliaji nyota wa FC Barcelona, Luis Suarez ameteuliwa kuwa mwanasoka bora wa dunia kwenye La Liga.
Tuzo hiyo ni kwa ajili ya msimu wa 2015-16 kwa wachezaji wa La Liga.
Tuzo
hiyo hujumuisha mchezaji anayezungumzwa au aliye gumzo zaidi katika
sehemu mbalimbali duniani lakini anatokea kwenye La Liga.
Post a Comment