Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric ameshinda tuzo ya kiungo bora wa La Liga kwa msimu wa 2015-16. Modric ambaye msimu huu amekuwa akisumbuliwa na majeruhi, ndiye ameibuka bora na kuwabwaga wengine kutoka Barcelona na Atletico Madrid.
Post a Comment