Basi na Lori Vyateketea Baada ya Kugongana Kimara, Dar
October 30 2016 maeneo ya Kimara Stop Over Dar es Salaam imetokea ajali ambayo imehusisha basi la abiria liitwalo Safari Njema lenye namba ya usajili T 990 AQF ambalo limegongana na lori lenye namba ya usajili 534 BYJ na kusababisha kuwaka kwa magari hayo yote mawili na kupelekea kifo cha abiria mmoja na majeruhi 10.
‘Idadi ya Majeruhi
ni 10 na mwili mmoja wa abiria aliyeungua katika basi hilo lililokuwa
likitokea Dodoma liitwalo Safari Njema na kugongana na lori lenye namba
ya usajili 534 BYJ, chanzo ni uzembe wa madereva hao wote wawili ambao
katika eneo la tukio hawakuwepo kwahiyo mengineyo tuachie Jeshi la
Polisi’
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Post a Comment