Mwanaheri azua kizaazaa Zenji

kelele na kukusanyika kumshangaa kwani wanawake visiwani humo hawajazoeleka kuonekana kwenye mavazi ya sampuli hiyo.
“Yeye na mwenzake walikuwa hawana habari kabisa lakini kelele ziliwafanya wasimame kwanza maana wengi walisikika wakisema
WikiendaStaa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ sasa anajisafishia njia kwa mashabiki wa muziki na maprodyuza ili kurejea studio kuimba rasmi. Akipiga stori na Wikienda , Nisha alifunguka kuwa kipaji cha kuimba anacho na mashabiki wake ambao wamekuwa wakimsikia akiimba bila kujitangaza wamekuwa wakimsihi kurejea pande hizo kwa sababu awali alibipu kisha akaingia mitini.
“Nimeanza kwa kuandaa matamasha ya muziki na kuwasimamia baadhi ya wanamuziki, nakubaliana na mashabiki wangu na soon nitarejea studio,” alisema Nisha.
Stori: Hamida Hassan, Wikienda
kuwa hatuuvunji muungano kamwe huku wengine wakiitikia ndiyo hatuuvunji,” kilidai chanzo hicho. Akizungumza na Wikienda , Mwanaheri alikiri kutokea kwa vurumai hiyo lakini hakujua tatizo ni nini kwa sababu alikuwa yuko sawa
Post a Comment