KAULI YA BOLASIE BAADA YA BAADHI YA MASHABIKI PALACE KUSEMA FEDHA NDIYO ZIMEMKIMBIZA

Yannick Bolasie aria wa DR Cingo jirani ya Tanzania ameiacha Crystal Palace na kutua Everton maarufu kama Toffee.
Amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya pauni million 30 ili ahamishie makali yake ndani ya Goodison Park.
Pamoja
na kuonekana naye ‘amepiga’ fedha, lakini BIlasie amesisitiza kwamba
amekwenda kwa kuwa anataka mafanikio na si suala la fedha.
Post a Comment