Amber Lulu Atamani Kujenga Bar Chumbani Kwake!
Lulu Auggen ‘Amber Lulu’ akiwa nyumbani kwake.
Msomaji wa Mpaka Home, leo tunaye mwanadada ambaye hivi sasa ndiyo habari ya mjini kwenye mitandao ya kijamii, huyu si mwingine ni Lulu Auggen ‘Amber Lulu’ anayeishi Mwananyamala jijini Dar na ndugu yake aitwaye Bhoke au Kibonge Sexy. Ungana nami kujua mambo mengi kuhusu mrembo huyu.
Mpaka Home: Sawa, tukiachana na dera lakini watu wengi wanakuchukulia tofauti na mavazi yako ya vichupi, wewe unalizungumziaje hilo?
Lulu: Unajua katika maisha kila mtu anamtazamo wake, unaweza ukavaa dera au baibui na watu bado wakakusema vilevile. So mi sioni tatizo ilimradi najifahamu niko vizuri kitabia.
Lulu: Mwanzoni ndiyo palikuwa hapatoshi lakini sasa hivi wanaelewa vile vichupi ni kazi na si kitu kingine.
Mpaka Home: Oke, vipi unapokuwa hapa nyumbani unapenda kufanya nini?
Mpaka Home: Unaonekana ni mtu wa viwanja sana, unaweza kukaa jikoni na kupika kweli?
Mpaka Home: Unapendelea kupika chakula gani hasa?
Mpaka Home: Nini ambacho unatamani kiwepo hapa nyumbani kwako na hakipo?
Mpaka Home: Vipi una mchumba na kama unaye anaongeleaje mavazi yako?
Lulu: Nilikuwa naye zamani sasa hivi nipo singo, lakini hata yeye alikuwa haelewagi mavazi yangu mwanzo lakini baadaye alielewa.











Post a Comment